Native Bible

Psalms 78:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Walinena dhidi ya Mungu, wakisema, “Je, Mungu aweza kuandaa meza jangwani?

Psalms 78:19 in English

Psalms 78:19 · Berean Standard Bible

They spoke against God, saying, “Can God really prepare a table in the wilderness?

Context

17Lakini waliendelea kutenda dhambi dhidi yake, wakiasi jangwani dhidi ya Aliye Juu Sana. 18Kwa makusudi walimjaribu Mungu, wakidai vyakula walivyovitamani. 19Walinena dhidi ya Mungu, wakisema, “Je, Mungu aweza kuandaa meza jangwani? 20Alipopiga mwamba, maji yalitoka kwa nguvu, vijito vikatiririka maji mengi. Lakini je, aweza kutupa chakula pia? Je, anaweza kuwapa watu wake nyama?” 21Bwana alipowasikia, alikasirika sana, moto wake ukawa dhidi ya Yakobo, na ghadhabu yake ikawaka dhidi ya Israeli,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.