Zaburi 74:15
Psalms 74:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ni wewe uliyefungua chemchemi na vijito, ulikausha mito ambayo ilikuwa ikitiririka daima.
Psalms 74:15 in English
Psalms 74:15 · Berean Standard Bible
You broke open the fountain and the flood; You dried up the ever-flowing rivers.
Context
13Ni wewe uliyeigawanya bahari kwa uweza wako;
ulivunja vichwa vya wanyama wakubwa wa kutisha katika maji. 14Ni wewe uliyeponda vichwa vya Lewiathani*
nawe ukamtoa kama chakula
kwa viumbe vya jangwani. 15Ni wewe uliyefungua chemchemi na vijito,
ulikausha mito ambayo ilikuwa ikitiririka daima. 16Mchana ni wako, nao usiku ni wako pia,
uliziweka jua na mwezi. 17Ni wewe uliyeiweka mipaka yote ya dunia,
ulifanya kiangazi na masika.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.