Zaburi 74:14
Psalms 74:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ni wewe uliyeponda vichwa vya Lewiathani* nawe ukamtoa kama chakula kwa viumbe vya jangwani.
Psalms 74:14 in English
Psalms 74:14 · Berean Standard Bible
You crushed the heads of Leviathan; You fed him to the creatures of the desert.
Context
12Lakini wewe, Ee Mungu, ni mfalme wangu tangu zamani,
unaleta wokovu duniani. 13Ni wewe uliyeigawanya bahari kwa uweza wako;
ulivunja vichwa vya wanyama wakubwa wa kutisha katika maji. 14Ni wewe uliyeponda vichwa vya Lewiathani*
nawe ukamtoa kama chakula
kwa viumbe vya jangwani. 15Ni wewe uliyefungua chemchemi na vijito,
ulikausha mito ambayo ilikuwa ikitiririka daima. 16Mchana ni wako, nao usiku ni wako pia,
uliziweka jua na mwezi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.