Native Bible

Psalms 74:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini wewe, Ee Mungu, ni mfalme wangu tangu zamani, unaleta wokovu duniani.

Psalms 74:12 in English

Psalms 74:12 · Berean Standard Bible

Yet God is my King from ancient times, working salvation on the earth.

Context

10Ee Mungu, mtesi atakudhihaki mpaka lini? Je, adui watalitukana jina lako milele? 11Kwa nini unazuia mkono wako, mkono wako wa kuume? Uutoe kutoka makunjo ya vazi lako na uwaangamize! 12Lakini wewe, Ee Mungu, ni mfalme wangu tangu zamani, unaleta wokovu duniani. 13Ni wewe uliyeigawanya bahari kwa uweza wako; ulivunja vichwa vya wanyama wakubwa wa kutisha katika maji. 14Ni wewe uliyeponda vichwa vya Lewiathani* nawe ukamtoa kama chakula kwa viumbe vya jangwani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.