Native Bible

Psalms 74:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ni wewe uliyeigawanya bahari kwa uweza wako; ulivunja vichwa vya wanyama wakubwa wa kutisha katika maji.

Psalms 74:13 in English

Psalms 74:13 · Berean Standard Bible

You divided the sea by Your strength; You smashed the heads of the dragons of the sea;

Context

11Kwa nini unazuia mkono wako, mkono wako wa kuume? Uutoe kutoka makunjo ya vazi lako na uwaangamize! 12Lakini wewe, Ee Mungu, ni mfalme wangu tangu zamani, unaleta wokovu duniani. 13Ni wewe uliyeigawanya bahari kwa uweza wako; ulivunja vichwa vya wanyama wakubwa wa kutisha katika maji. 14Ni wewe uliyeponda vichwa vya Lewiathani* nawe ukamtoa kama chakula kwa viumbe vya jangwani. 15Ni wewe uliyefungua chemchemi na vijito, ulikausha mito ambayo ilikuwa ikitiririka daima.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.