Native Bible

Psalms 74:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa nini unazuia mkono wako, mkono wako wa kuume? Uutoe kutoka makunjo ya vazi lako na uwaangamize!

Psalms 74:11 in English

Psalms 74:11 · Berean Standard Bible

Why do You withdraw Your strong right hand? Stretch it out to destroy them!*

Context

9Hatukupewa ishara za miujiza; hakuna manabii waliobaki, hakuna yeyote kati yetu ajuaye hali hii itachukua muda gani. 10Ee Mungu, mtesi atakudhihaki mpaka lini? Je, adui watalitukana jina lako milele? 11Kwa nini unazuia mkono wako, mkono wako wa kuume? Uutoe kutoka makunjo ya vazi lako na uwaangamize! 12Lakini wewe, Ee Mungu, ni mfalme wangu tangu zamani, unaleta wokovu duniani. 13Ni wewe uliyeigawanya bahari kwa uweza wako; ulivunja vichwa vya wanyama wakubwa wa kutisha katika maji.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.