Native Bible

Psalms 74:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Mungu, mtesi atakudhihaki mpaka lini? Je, adui watalitukana jina lako milele?

Psalms 74:10 in English

Psalms 74:10 · Berean Standard Bible

How long, O God, will the enemy taunt You? Will the foe revile Your name forever?

Context

8Walisema mioyoni mwao, “Tutawaponda kabisa!” Walichoma kila mahali ambapo Mungu aliabudiwa katika nchi. 9Hatukupewa ishara za miujiza; hakuna manabii waliobaki, hakuna yeyote kati yetu ajuaye hali hii itachukua muda gani. 10Ee Mungu, mtesi atakudhihaki mpaka lini? Je, adui watalitukana jina lako milele? 11Kwa nini unazuia mkono wako, mkono wako wa kuume? Uutoe kutoka makunjo ya vazi lako na uwaangamize! 12Lakini wewe, Ee Mungu, ni mfalme wangu tangu zamani, unaleta wokovu duniani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.