Native Bible

Psalms 74:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mchana ni wako, nao usiku ni wako pia, uliziweka jua na mwezi.

Psalms 74:16 in English

Psalms 74:16 · Berean Standard Bible

The day is Yours, and also the night; You established the moon * and the sun.

Context

14Ni wewe uliyeponda vichwa vya Lewiathani* nawe ukamtoa kama chakula kwa viumbe vya jangwani. 15Ni wewe uliyefungua chemchemi na vijito, ulikausha mito ambayo ilikuwa ikitiririka daima. 16Mchana ni wako, nao usiku ni wako pia, uliziweka jua na mwezi. 17Ni wewe uliyeiweka mipaka yote ya dunia, ulifanya kiangazi na masika. 18Ee Bwana, kumbuka jinsi mtesi alivyokudhihaki, jinsi watu wapumbavu walivyolitukana jina lako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.