Zaburi 74:18
Psalms 74:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Bwana, kumbuka jinsi mtesi alivyokudhihaki, jinsi watu wapumbavu walivyolitukana jina lako.
Psalms 74:18 in English
Psalms 74:18 · Berean Standard Bible
Remember how the enemy has mocked You, O LORD, how a foolish people has spurned Your name.
Context
16Mchana ni wako, nao usiku ni wako pia,
uliziweka jua na mwezi. 17Ni wewe uliyeiweka mipaka yote ya dunia,
ulifanya kiangazi na masika. 18Ee Bwana, kumbuka jinsi mtesi alivyokudhihaki,
jinsi watu wapumbavu walivyolitukana jina lako. 19Usiukabidhi uhai wa njiwa wako kwa wanyama wakali wa mwitu;
usisahau kabisa uhai wa watu wako wanaoteseka milele. 20Likumbuke agano lako,
maana mara kwa mara mambo ya jeuri
yamejaa katika sehemu za giza nchini.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.