Native Bible

Psalms 74:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ni wewe uliyeiweka mipaka yote ya dunia, ulifanya kiangazi na masika.

Psalms 74:17 in English

Psalms 74:17 · Berean Standard Bible

You set all the boundaries of the earth; You made the summer and winter.

Context

15Ni wewe uliyefungua chemchemi na vijito, ulikausha mito ambayo ilikuwa ikitiririka daima. 16Mchana ni wako, nao usiku ni wako pia, uliziweka jua na mwezi. 17Ni wewe uliyeiweka mipaka yote ya dunia, ulifanya kiangazi na masika. 18Ee Bwana, kumbuka jinsi mtesi alivyokudhihaki, jinsi watu wapumbavu walivyolitukana jina lako. 19Usiukabidhi uhai wa njiwa wako kwa wanyama wakali wa mwitu; usisahau kabisa uhai wa watu wako wanaoteseka milele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.