Native Bible

Psalms 73:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hivi ndivyo walivyo waovu: siku zote hawajali, wanaongezeka katika utajiri.

Psalms 73:12 in English

Psalms 73:12 · Berean Standard Bible

Behold, these are the wicked— always carefree as they increase their wealth.

Context

10Kwa hiyo watu wao huwageukia na kunywa maji tele.* 11Wanasema, “Mungu awezaje kujua? Je, Yeye Aliye Juu Sana anayo maarifa?” 12Hivi ndivyo walivyo waovu: siku zote hawajali, wanaongezeka katika utajiri. 13Hakika nimeuweka moyo wangu safi bure, ni bure nimenawa mikono yangu nisiwe na hatia. 14Mchana kutwa nimetaabika, nimeadhibiwa kila asubuhi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.