Native Bible

Psalms 73:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo watu wao huwageukia na kunywa maji tele.*

Psalms 73:10 in English

Psalms 73:10 · Berean Standard Bible

So their people * return to this place and drink up waters in abundance.

Context

8Hudhihaki na kusema kwa ukorofi, katika majivuno yao wanatishia kutesa. 9Vinywa vyao huweka madai hata kwa mbingu, nazo ndimi zao humiliki duniani. 10Kwa hiyo watu wao huwageukia na kunywa maji tele.* 11Wanasema, “Mungu awezaje kujua? Je, Yeye Aliye Juu Sana anayo maarifa?” 12Hivi ndivyo walivyo waovu: siku zote hawajali, wanaongezeka katika utajiri.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.