Native Bible

Psalms 73:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Vinywa vyao huweka madai hata kwa mbingu, nazo ndimi zao humiliki duniani.

Psalms 73:9 in English

Psalms 73:9 · Berean Standard Bible

They set their mouths against the heavens, and their tongues strut across the earth.

Context

7Uovu hutoka katika mioyo yao iliyokufa ganzi, majivuno maovu kutoka mioyoni mwao hauna kikomo. 8Hudhihaki na kusema kwa ukorofi, katika majivuno yao wanatishia kutesa. 9Vinywa vyao huweka madai hata kwa mbingu, nazo ndimi zao humiliki duniani. 10Kwa hiyo watu wao huwageukia na kunywa maji tele.* 11Wanasema, “Mungu awezaje kujua? Je, Yeye Aliye Juu Sana anayo maarifa?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.