Zaburi 73:11
Psalms 73:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wanasema, “Mungu awezaje kujua? Je, Yeye Aliye Juu Sana anayo maarifa?”
Psalms 73:11 in English
Psalms 73:11 · Berean Standard Bible
The wicked say, “How can God know? Does the Most High have knowledge?”
Context
9Vinywa vyao huweka madai hata kwa mbingu,
nazo ndimi zao humiliki duniani. 10Kwa hiyo watu wao huwageukia
na kunywa maji tele.* 11Wanasema, “Mungu awezaje kujua?
Je, Yeye Aliye Juu Sana anayo maarifa?” 12Hivi ndivyo walivyo waovu:
siku zote hawajali,
wanaongezeka katika utajiri. 13Hakika nimeuweka moyo wangu safi bure,
ni bure nimenawa mikono yangu nisiwe na hatia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.