Native Bible

Psalms 73:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hakika nimeuweka moyo wangu safi bure, ni bure nimenawa mikono yangu nisiwe na hatia.

Psalms 73:13 in English

Psalms 73:13 · Berean Standard Bible

Surely in vain I have kept my heart pure; in innocence I have washed my hands.

Context

11Wanasema, “Mungu awezaje kujua? Je, Yeye Aliye Juu Sana anayo maarifa?” 12Hivi ndivyo walivyo waovu: siku zote hawajali, wanaongezeka katika utajiri. 13Hakika nimeuweka moyo wangu safi bure, ni bure nimenawa mikono yangu nisiwe na hatia. 14Mchana kutwa nimetaabika, nimeadhibiwa kila asubuhi. 15Kama ningesema, “Nitasema hivi,” ningelikuwa nimewasaliti watoto wako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.