Native Bible

Psalms 73:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mchana kutwa nimetaabika, nimeadhibiwa kila asubuhi.

Psalms 73:14 in English

Psalms 73:14 · Berean Standard Bible

For I am afflicted all day long and punished every morning.

Context

12Hivi ndivyo walivyo waovu: siku zote hawajali, wanaongezeka katika utajiri. 13Hakika nimeuweka moyo wangu safi bure, ni bure nimenawa mikono yangu nisiwe na hatia. 14Mchana kutwa nimetaabika, nimeadhibiwa kila asubuhi. 15Kama ningesema, “Nitasema hivi,” ningelikuwa nimewasaliti watoto wako. 16Nilipojaribu kuelewa haya yote, yalikuwa magumu kwangu kuelewa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.