Zaburi 73:8
Psalms 73:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hudhihaki na kusema kwa ukorofi, katika majivuno yao wanatishia kutesa.
Psalms 73:8 in English
Psalms 73:8 · Berean Standard Bible
They mock and speak with malice; with arrogance they threaten oppression.
Context
6Kwa hiyo kiburi ni mkufu wao,
wamejivika jeuri. 7Uovu hutoka katika mioyo yao iliyokufa ganzi,
majivuno maovu kutoka mioyoni mwao hauna kikomo. 8Hudhihaki na kusema kwa ukorofi,
katika majivuno yao wanatishia kutesa. 9Vinywa vyao huweka madai hata kwa mbingu,
nazo ndimi zao humiliki duniani. 10Kwa hiyo watu wao huwageukia
na kunywa maji tele.*
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.