Zaburi 73:6
Psalms 73:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo kiburi ni mkufu wao, wamejivika jeuri.
Psalms 73:6 in English
Psalms 73:6 · Berean Standard Bible
Therefore pride is their necklace; a garment of violence covers them.
Context
4Wao hawana taabu,*
miili yao ina afya na nguvu. 5Hawapati shida zinazowataabisha watu wengine,
wala hawapati mapigo kama wanadamu wengine. 6Kwa hiyo kiburi ni mkufu wao,
wamejivika jeuri. 7Uovu hutoka katika mioyo yao iliyokufa ganzi,
majivuno maovu kutoka mioyoni mwao hauna kikomo. 8Hudhihaki na kusema kwa ukorofi,
katika majivuno yao wanatishia kutesa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.