Zaburi 73:4
Psalms 73:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wao hawana taabu,* miili yao ina afya na nguvu.
Psalms 73:4 in English
Psalms 73:4 · Berean Standard Bible
They have no struggle in their death; their bodies are well-fed.
Context
2Bali kwangu mimi, miguu yangu ilikuwa karibu kuteleza;
nilikuwa karibu mguu wangu kuachia uliposimama. 3Kwa maana niliwaonea wivu wenye kujivuna
nilipoona kufanikiwa kwa waovu. 4Wao hawana taabu,*
miili yao ina afya na nguvu. 5Hawapati shida zinazowataabisha watu wengine,
wala hawapati mapigo kama wanadamu wengine. 6Kwa hiyo kiburi ni mkufu wao,
wamejivika jeuri.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.