Native Bible

Psalms 73:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bali kwangu mimi, miguu yangu ilikuwa karibu kuteleza; nilikuwa karibu mguu wangu kuachia uliposimama.

Psalms 73:2 in English

Psalms 73:2 · Berean Standard Bible

But as for me, my feet had almost stumbled; my steps had nearly slipped.

Context

1Hakika Mungu ni mwema kwa Israeli, kwa wale ambao mioyo yao ni safi. 2Bali kwangu mimi, miguu yangu ilikuwa karibu kuteleza; nilikuwa karibu mguu wangu kuachia uliposimama. 3Kwa maana niliwaonea wivu wenye kujivuna nilipoona kufanikiwa kwa waovu. 4Wao hawana taabu,* miili yao ina afya na nguvu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.