Native Bible

Psalms 73:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana niliwaonea wivu wenye kujivuna nilipoona kufanikiwa kwa waovu.

Psalms 73:3 in English

Psalms 73:3 · Berean Standard Bible

For I envied the arrogant when I saw the prosperity of the wicked.

Context

1Hakika Mungu ni mwema kwa Israeli, kwa wale ambao mioyo yao ni safi. 2Bali kwangu mimi, miguu yangu ilikuwa karibu kuteleza; nilikuwa karibu mguu wangu kuachia uliposimama. 3Kwa maana niliwaonea wivu wenye kujivuna nilipoona kufanikiwa kwa waovu. 4Wao hawana taabu,* miili yao ina afya na nguvu. 5Hawapati shida zinazowataabisha watu wengine, wala hawapati mapigo kama wanadamu wengine.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.