Native Bible

Psalms 73:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hakika Mungu ni mwema kwa Israeli, kwa wale ambao mioyo yao ni safi.

Psalms 73:1 in English

Psalms 73:1 · Berean Standard Bible

Surely God is good to Israel, to those who are pure in heart.

Context

1Hakika Mungu ni mwema kwa Israeli, kwa wale ambao mioyo yao ni safi. 2Bali kwangu mimi, miguu yangu ilikuwa karibu kuteleza; nilikuwa karibu mguu wangu kuachia uliposimama. 3Kwa maana niliwaonea wivu wenye kujivuna nilipoona kufanikiwa kwa waovu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.