Native Bible

Psalms 69:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mimi niko katika maumivu na dhiki; Ee Mungu, wokovu wako na unihifadhi.

Psalms 69:29 in English

Psalms 69:29 · Berean Standard Bible

But I am in pain and distress; let Your salvation protect me, O God.

Context

27Walipize uovu juu ya uovu, usiwaache washiriki katika wokovu wako. 28Wafutwe kutoka kitabu cha uzima na wasiorodheshwe pamoja na wenye haki. 29Mimi niko katika maumivu na dhiki; Ee Mungu, wokovu wako na unihifadhi. 30Nitalisifu jina la Mungu kwa wimbo, nami nitamtukuza kwa kumtolea shukrani. 31Hili litampendeza Bwana kuliko ngʼombe dume, zaidi ya fahali akiwa na pembe na kwato zake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.