Native Bible

Psalms 69:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wafutwe kutoka kitabu cha uzima na wasiorodheshwe pamoja na wenye haki.

Psalms 69:28 in English

Psalms 69:28 · Berean Standard Bible

May they be blotted out of the Book of Life and not listed with the righteous.

Context

26Kwa kuwa wanawatesa wale uliowajeruhi, na kuzungumza juu ya maumivu ya wale uliowaumiza. 27Walipize uovu juu ya uovu, usiwaache washiriki katika wokovu wako. 28Wafutwe kutoka kitabu cha uzima na wasiorodheshwe pamoja na wenye haki. 29Mimi niko katika maumivu na dhiki; Ee Mungu, wokovu wako na unihifadhi. 30Nitalisifu jina la Mungu kwa wimbo, nami nitamtukuza kwa kumtolea shukrani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.