Native Bible

Psalms 69:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa kuwa wanawatesa wale uliowajeruhi, na kuzungumza juu ya maumivu ya wale uliowaumiza.

Psalms 69:26 in English

Psalms 69:26 · Berean Standard Bible

For they persecute the one You struck and recount the pain of those You wounded.

Context

24Uwamwagie ghadhabu yako, hasira yako kali na iwapate. 25Mahali pao na pawe ukiwa, wala asiwepo yeyote atakayeishi katika mahema yao. 26Kwa kuwa wanawatesa wale uliowajeruhi, na kuzungumza juu ya maumivu ya wale uliowaumiza. 27Walipize uovu juu ya uovu, usiwaache washiriki katika wokovu wako. 28Wafutwe kutoka kitabu cha uzima na wasiorodheshwe pamoja na wenye haki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.