Zaburi 69:24
Psalms 69:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Uwamwagie ghadhabu yako, hasira yako kali na iwapate.
Psalms 69:24 in English
Psalms 69:24 · Berean Standard Bible
Pour out Your wrath upon them, and let Your burning anger overtake them.
Context
22Meza iliyoandaliwa mbele yao na iwe mtego,
nayo iwe upatilizo na tanzi. 23Macho yao yatiwe giza ili wasiweze kuona,
nayo migongo yao iinamishwe daima. 24Uwamwagie ghadhabu yako,
hasira yako kali na iwapate. 25Mahali pao na pawe ukiwa,
wala asiwepo yeyote atakayeishi katika mahema yao. 26Kwa kuwa wanawatesa wale uliowajeruhi,
na kuzungumza juu ya maumivu ya wale uliowaumiza.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.