Zaburi 69:23
Psalms 69:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Macho yao yatiwe giza ili wasiweze kuona, nayo migongo yao iinamishwe daima.
Psalms 69:23 in English
Psalms 69:23 · Berean Standard Bible
May their eyes be darkened so they cannot see, and their backs be bent forever.*
Context
21Waliweka nyongo katika chakula changu
na walinipa siki nilipokuwa na kiu. 22Meza iliyoandaliwa mbele yao na iwe mtego,
nayo iwe upatilizo na tanzi. 23Macho yao yatiwe giza ili wasiweze kuona,
nayo migongo yao iinamishwe daima. 24Uwamwagie ghadhabu yako,
hasira yako kali na iwapate. 25Mahali pao na pawe ukiwa,
wala asiwepo yeyote atakayeishi katika mahema yao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.