Native Bible

Psalms 69:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Meza iliyoandaliwa mbele yao na iwe mtego, nayo iwe upatilizo na tanzi.

Psalms 69:22 in English

Psalms 69:22 · Berean Standard Bible

May their table become a snare; may it be a retribution and a trap.*

Context

20Dharau zimenivunja moyo na nimekata tamaa, nimetafuta wa kunihurumia, lakini sikumpata, wa kunituliza, lakini sikumpata. 21Waliweka nyongo katika chakula changu na walinipa siki nilipokuwa na kiu. 22Meza iliyoandaliwa mbele yao na iwe mtego, nayo iwe upatilizo na tanzi. 23Macho yao yatiwe giza ili wasiweze kuona, nayo migongo yao iinamishwe daima. 24Uwamwagie ghadhabu yako, hasira yako kali na iwapate.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.