Native Bible

Psalms 69:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Waliweka nyongo katika chakula changu na walinipa siki nilipokuwa na kiu.

Psalms 69:21 in English

Psalms 69:21 · Berean Standard Bible

They poisoned my food with gall and gave me vinegar to quench my thirst.

Context

19Unajua jinsi ninavyodharauliwa, kufedheheshwa na kuaibishwa, adui zangu wote unawajua. 20Dharau zimenivunja moyo na nimekata tamaa, nimetafuta wa kunihurumia, lakini sikumpata, wa kunituliza, lakini sikumpata. 21Waliweka nyongo katika chakula changu na walinipa siki nilipokuwa na kiu. 22Meza iliyoandaliwa mbele yao na iwe mtego, nayo iwe upatilizo na tanzi. 23Macho yao yatiwe giza ili wasiweze kuona, nayo migongo yao iinamishwe daima.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.