Native Bible

Psalms 69:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Walipize uovu juu ya uovu, usiwaache washiriki katika wokovu wako.

Psalms 69:27 in English

Psalms 69:27 · Berean Standard Bible

Add iniquity to their iniquity; let them not share in Your righteousness.

Context

25Mahali pao na pawe ukiwa, wala asiwepo yeyote atakayeishi katika mahema yao. 26Kwa kuwa wanawatesa wale uliowajeruhi, na kuzungumza juu ya maumivu ya wale uliowaumiza. 27Walipize uovu juu ya uovu, usiwaache washiriki katika wokovu wako. 28Wafutwe kutoka kitabu cha uzima na wasiorodheshwe pamoja na wenye haki. 29Mimi niko katika maumivu na dhiki; Ee Mungu, wokovu wako na unihifadhi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.