Native Bible

Psalms 69:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitalisifu jina la Mungu kwa wimbo, nami nitamtukuza kwa kumtolea shukrani.

Psalms 69:30 in English

Psalms 69:30 · Berean Standard Bible

I will praise God’s name in song and exalt Him with thanksgiving.

Context

28Wafutwe kutoka kitabu cha uzima na wasiorodheshwe pamoja na wenye haki. 29Mimi niko katika maumivu na dhiki; Ee Mungu, wokovu wako na unihifadhi. 30Nitalisifu jina la Mungu kwa wimbo, nami nitamtukuza kwa kumtolea shukrani. 31Hili litampendeza Bwana kuliko ngʼombe dume, zaidi ya fahali akiwa na pembe na kwato zake. 32Maskini wataona na kufurahi: ninyi mnaomtafuta Mungu, mioyo yenu na iishi!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.