Zaburi 69:31
Psalms 69:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hili litampendeza Bwana kuliko ngʼombe dume, zaidi ya fahali akiwa na pembe na kwato zake.
Psalms 69:31 in English
Psalms 69:31 · Berean Standard Bible
And this will please the LORD more than an ox, more than a bull with horns and hooves.
Context
29Mimi niko katika maumivu na dhiki;
Ee Mungu, wokovu wako na unihifadhi. 30Nitalisifu jina la Mungu kwa wimbo,
nami nitamtukuza kwa kumtolea shukrani. 31Hili litampendeza Bwana kuliko ngʼombe dume,
zaidi ya fahali akiwa na pembe na kwato zake. 32Maskini wataona na kufurahi:
ninyi mnaomtafuta Mungu, mioyo yenu na iishi! 33Bwana huwasikia wahitaji
wala hadharau watu wake waliotekwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.