Native Bible

Psalms 69:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, unijibu, kwa wema wa upendo wako; kwa huruma zako nyingi unigeukie.

Psalms 69:16 in English

Psalms 69:16 · Berean Standard Bible

Answer me, O LORD, for Your loving devotion is good; turn to me in keeping with Your great compassion.

Context

14Uniokoe katika matope, usiniache nizame; niokoe na hao wanichukiao, kutoka kwenye vilindi vya maji. 15Usiache mafuriko yanigharikishe au vilindi vinimeze, au shimo lifumbe kinywa chake juu yangu. 16Ee Bwana, unijibu, kwa wema wa upendo wako; kwa huruma zako nyingi unigeukie. 17Usimfiche mtumishi wako uso wako, uharakishe kunijibu, kwa sababu niko katika shida. 18Njoo karibu uniokoe, nikomboe kwa sababu ya adui zangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.