Zaburi 69:18
Psalms 69:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Njoo karibu uniokoe, nikomboe kwa sababu ya adui zangu.
Psalms 69:18 in English
Psalms 69:18 · Berean Standard Bible
Draw near to my soul and redeem me; ransom me because of my foes.
Context
16Ee Bwana, unijibu, kwa wema wa upendo wako;
kwa huruma zako nyingi unigeukie. 17Usimfiche mtumishi wako uso wako,
uharakishe kunijibu, kwa sababu niko katika shida. 18Njoo karibu uniokoe,
nikomboe kwa sababu ya adui zangu. 19Unajua jinsi ninavyodharauliwa,
kufedheheshwa na kuaibishwa,
adui zangu wote unawajua. 20Dharau zimenivunja moyo
na nimekata tamaa,
nimetafuta wa kunihurumia, lakini sikumpata,
wa kunituliza, lakini sikumpata.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.