Zaburi 69:17
Psalms 69:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Usimfiche mtumishi wako uso wako, uharakishe kunijibu, kwa sababu niko katika shida.
Psalms 69:17 in English
Psalms 69:17 · Berean Standard Bible
Hide not Your face from Your servant, for I am in distress. Answer me quickly!
Context
15Usiache mafuriko yanigharikishe
au vilindi vinimeze,
au shimo lifumbe kinywa chake juu yangu. 16Ee Bwana, unijibu, kwa wema wa upendo wako;
kwa huruma zako nyingi unigeukie. 17Usimfiche mtumishi wako uso wako,
uharakishe kunijibu, kwa sababu niko katika shida. 18Njoo karibu uniokoe,
nikomboe kwa sababu ya adui zangu. 19Unajua jinsi ninavyodharauliwa,
kufedheheshwa na kuaibishwa,
adui zangu wote unawajua.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.