Zaburi 69:14
Psalms 69:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Uniokoe katika matope, usiniache nizame; niokoe na hao wanichukiao, kutoka kwenye vilindi vya maji.
Psalms 69:14 in English
Psalms 69:14 · Berean Standard Bible
Rescue me from the mire and do not let me sink; deliver me from my foes and out of the deep waters.
Context
12Wale wanaoketi mlangoni wananisimanga,
nimekuwa wimbo wa walevi. 13Lakini Ee Bwana, ninakuomba,
kwa wakati ukupendezao;
katika upendo wako mkuu, Ee Mungu,
unijibu kwa wokovu wako wa hakika. 14Uniokoe katika matope,
usiniache nizame;
niokoe na hao wanichukiao,
kutoka kwenye vilindi vya maji. 15Usiache mafuriko yanigharikishe
au vilindi vinimeze,
au shimo lifumbe kinywa chake juu yangu. 16Ee Bwana, unijibu, kwa wema wa upendo wako;
kwa huruma zako nyingi unigeukie.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.