Native Bible

Psalms 69:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wale wanaoketi mlangoni wananisimanga, nimekuwa wimbo wa walevi.

Psalms 69:12 in English

Psalms 69:12 · Berean Standard Bible

Those who sit at the gate mock me, and I am the song of drunkards.

Context

10Ninapolia na kufunga, lazima nivumilie matusi. 11Ninapovaa nguo ya gunia, watu hunidharau. 12Wale wanaoketi mlangoni wananisimanga, nimekuwa wimbo wa walevi. 13Lakini Ee Bwana, ninakuomba, kwa wakati ukupendezao; katika upendo wako mkuu, Ee Mungu, unijibu kwa wokovu wako wa hakika. 14Uniokoe katika matope, usiniache nizame; niokoe na hao wanichukiao, kutoka kwenye vilindi vya maji.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.