Zaburi 69:10
Psalms 69:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninapolia na kufunga, lazima nivumilie matusi.
Psalms 69:10 in English
Psalms 69:10 · Berean Standard Bible
I wept and fasted, but it brought me reproach.
Context
8Nimekuwa mgeni kwa ndugu zangu,
mgeni kwa wana wa mama yangu mwenyewe. 9Kwa kuwa wivu wa nyumba yako unanila,
matukano ya wale wanaokutukana yameniangukia. 10Ninapolia na kufunga,
lazima nivumilie matusi. 11Ninapovaa nguo ya gunia,
watu hunidharau. 12Wale wanaoketi mlangoni wananisimanga,
nimekuwa wimbo wa walevi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.