Zaburi 68:24
Psalms 68:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Mungu, maandamano yako yameonekana, maandamano ya Mungu wangu, Mfalme wangu, yakielekea patakatifu pake.
Psalms 68:24 in English
Psalms 68:24 · Berean Standard Bible
They have seen Your procession, O God— the march of my God and King into the sanctuary.
Context
22Bwana alisema, “Nitawarudisha kutoka Bashani;
nitawarudisha kutoka vilindi vya bahari, 23ili uweze kuchovya miguu yako katika damu ya adui zako,
huku ndimi za mbwa wako zikiwa na fungu lake.” 24Ee Mungu, maandamano yako yameonekana,
maandamano ya Mungu wangu, Mfalme wangu,
yakielekea patakatifu pake. 25Mbele wako waimbaji, baada yao wapiga vinanda,
pamoja nao wako wanawali wakipiga matari. 26Msifuni Mungu katika kusanyiko kubwa,
msifuni Bwana katika kusanyiko la Israeli.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.