Native Bible

Psalms 68:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana alisema, “Nitawarudisha kutoka Bashani; nitawarudisha kutoka vilindi vya bahari,

Psalms 68:22 in English

Psalms 68:22 · Berean Standard Bible

The Lord said, “I will retrieve them from Bashan, I will bring them up from the depths of the sea,

Context

20Mungu wetu ni Mungu aokoaye, Bwana Mwenyezi hutuokoa na kifo. 21Hakika Mungu ataponda vichwa vya adui zake, vichwa vya hao waendao katika njia za dhambi. 22Bwana alisema, “Nitawarudisha kutoka Bashani; nitawarudisha kutoka vilindi vya bahari, 23ili uweze kuchovya miguu yako katika damu ya adui zako, huku ndimi za mbwa wako zikiwa na fungu lake.” 24Ee Mungu, maandamano yako yameonekana, maandamano ya Mungu wangu, Mfalme wangu, yakielekea patakatifu pake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.