Native Bible

Psalms 68:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ili uweze kuchovya miguu yako katika damu ya adui zako, huku ndimi za mbwa wako zikiwa na fungu lake.”

Psalms 68:23 in English

Psalms 68:23 · Berean Standard Bible

that your foot may be dipped in the blood of your foes— the tongues of your dogs in the same.”

Context

21Hakika Mungu ataponda vichwa vya adui zake, vichwa vya hao waendao katika njia za dhambi. 22Bwana alisema, “Nitawarudisha kutoka Bashani; nitawarudisha kutoka vilindi vya bahari, 23ili uweze kuchovya miguu yako katika damu ya adui zako, huku ndimi za mbwa wako zikiwa na fungu lake.” 24Ee Mungu, maandamano yako yameonekana, maandamano ya Mungu wangu, Mfalme wangu, yakielekea patakatifu pake. 25Mbele wako waimbaji, baada yao wapiga vinanda, pamoja nao wako wanawali wakipiga matari.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.