Zaburi 68:20
Psalms 68:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mungu wetu ni Mungu aokoaye, Bwana Mwenyezi hutuokoa na kifo.
Psalms 68:20 in English
Psalms 68:20 · Berean Standard Bible
Our God is a God of deliverance; the Lord GOD is our rescuer from death.
Context
18Ulipopanda juu, uliteka mateka,
ukapokea vipawa kutoka kwa wanadamu,
hata kutoka kwa wale walioasi,
ili wewe, Ee Bwana Mungu, upate kuishi huko. 19Sifa apewe Bwana, Mungu Mwokozi wetu,
ambaye siku kwa siku hutuchukulia mizigo yetu. 20Mungu wetu ni Mungu aokoaye,
Bwana Mwenyezi hutuokoa na kifo. 21Hakika Mungu ataponda vichwa vya adui zake,
vichwa vya hao waendao katika njia za dhambi. 22Bwana alisema, “Nitawarudisha kutoka Bashani;
nitawarudisha kutoka vilindi vya bahari,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.