Native Bible

Psalms 68:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sifa apewe Bwana, Mungu Mwokozi wetu, ambaye siku kwa siku hutuchukulia mizigo yetu.

Psalms 68:19 in English

Psalms 68:19 · Berean Standard Bible

Blessed be the Lord, who daily bears our burden, the God of our salvation. Selah

Context

17Magari ya Mungu ni makumi ya maelfu, na maelfu ya maelfu; Bwana amekuja kutoka Sinai hadi katika patakatifu pake. 18Ulipopanda juu, uliteka mateka, ukapokea vipawa kutoka kwa wanadamu, hata kutoka kwa wale walioasi, ili wewe, Ee Bwana Mungu, upate kuishi huko. 19Sifa apewe Bwana, Mungu Mwokozi wetu, ambaye siku kwa siku hutuchukulia mizigo yetu. 20Mungu wetu ni Mungu aokoaye, Bwana Mwenyezi hutuokoa na kifo. 21Hakika Mungu ataponda vichwa vya adui zake, vichwa vya hao waendao katika njia za dhambi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.