Native Bible

Psalms 55:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nguvu za uharibifu zinatenda kazi mjini, vitisho na uongo haviondoki mitaani mwake.

Psalms 55:11 in English

Psalms 55:11 · Berean Standard Bible

Destruction is within; oppression and deceit never leave the streets.

Context

9Ee Bwana, uwatahayarishe waovu na uwachanganyishie semi zao, maana nimeona jeuri na ugomvi mjini. 10Usiku na mchana wanazunguka juu ya kuta zake, uovu na dhuluma vimo ndani yake. 11Nguvu za uharibifu zinatenda kazi mjini, vitisho na uongo haviondoki mitaani mwake. 12Kama aliyenitukana ni adui yangu, ningevumilia, kama mtu mwovu angejiinua dhidi yangu, ningejificha asinione. 13Kumbe ni wewe, mwenzangu, mshiriki na rafiki yangu wa karibu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.