Native Bible

Psalms 55:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usiku na mchana wanazunguka juu ya kuta zake, uovu na dhuluma vimo ndani yake.

Psalms 55:10 in English

Psalms 55:10 · Berean Standard Bible

Day and night they encircle the walls, while malice and trouble lie within.

Context

8ningaliharakisha kwenda mahali pa salama, mbali na tufani kali na dhoruba.” 9Ee Bwana, uwatahayarishe waovu na uwachanganyishie semi zao, maana nimeona jeuri na ugomvi mjini. 10Usiku na mchana wanazunguka juu ya kuta zake, uovu na dhuluma vimo ndani yake. 11Nguvu za uharibifu zinatenda kazi mjini, vitisho na uongo haviondoki mitaani mwake. 12Kama aliyenitukana ni adui yangu, ningevumilia, kama mtu mwovu angejiinua dhidi yangu, ningejificha asinione.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.