Native Bible

Psalms 55:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ningaliharakisha kwenda mahali pa salama, mbali na tufani kali na dhoruba.”

Psalms 55:8 in English

Psalms 55:8 · Berean Standard Bible

I would hurry to my shelter, far from this raging tempest.”

Context

6Nilisema, “Laiti ningekuwa na mbawa za njiwa! Ningeruka niende mbali kupumzika. 7Ningalitorokea mbali sana na kukaa jangwani, 8ningaliharakisha kwenda mahali pa salama, mbali na tufani kali na dhoruba.” 9Ee Bwana, uwatahayarishe waovu na uwachanganyishie semi zao, maana nimeona jeuri na ugomvi mjini. 10Usiku na mchana wanazunguka juu ya kuta zake, uovu na dhuluma vimo ndani yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.