Zaburi 55:7
Psalms 55:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ningalitorokea mbali sana na kukaa jangwani,
Psalms 55:7 in English
Psalms 55:7 · Berean Standard Bible
How far away I would flee! In the wilderness I would remain. Selah
Context
5Woga na kutetemeka vimenizunguka,
hofu kuu imenigharikisha. 6Nilisema, “Laiti ningekuwa na mbawa za njiwa!
Ningeruka niende mbali kupumzika. 7Ningalitorokea mbali sana
na kukaa jangwani, 8ningaliharakisha kwenda mahali pa salama,
mbali na tufani kali na dhoruba.” 9Ee Bwana, uwatahayarishe waovu
na uwachanganyishie semi zao,
maana nimeona jeuri na ugomvi mjini.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.