Zaburi 55:9
Psalms 55:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Bwana, uwatahayarishe waovu na uwachanganyishie semi zao, maana nimeona jeuri na ugomvi mjini.
Psalms 55:9 in English
Psalms 55:9 · Berean Standard Bible
O Lord, confuse and confound their speech, for I see violence and strife in the city.
Context
7Ningalitorokea mbali sana
na kukaa jangwani, 8ningaliharakisha kwenda mahali pa salama,
mbali na tufani kali na dhoruba.” 9Ee Bwana, uwatahayarishe waovu
na uwachanganyishie semi zao,
maana nimeona jeuri na ugomvi mjini. 10Usiku na mchana wanazunguka juu ya kuta zake,
uovu na dhuluma vimo ndani yake. 11Nguvu za uharibifu zinatenda kazi mjini,
vitisho na uongo haviondoki mitaani mwake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.