Native Bible

Psalms 55:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama aliyenitukana ni adui yangu, ningevumilia, kama mtu mwovu angejiinua dhidi yangu, ningejificha asinione.

Psalms 55:12 in English

Psalms 55:12 · Berean Standard Bible

For it is not an enemy who insults me; that I could endure. It is not a foe who rises against me; from him I could hide.

Context

10Usiku na mchana wanazunguka juu ya kuta zake, uovu na dhuluma vimo ndani yake. 11Nguvu za uharibifu zinatenda kazi mjini, vitisho na uongo haviondoki mitaani mwake. 12Kama aliyenitukana ni adui yangu, ningevumilia, kama mtu mwovu angejiinua dhidi yangu, ningejificha asinione. 13Kumbe ni wewe, mwenzangu, mshiriki na rafiki yangu wa karibu, 14ambaye awali tulifurahia ushirika mzuri, tulipokuwa tukienda na umati hekaluni mwa Mungu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.