Zaburi 55:13
Psalms 55:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kumbe ni wewe, mwenzangu, mshiriki na rafiki yangu wa karibu,
Psalms 55:13 in English
Psalms 55:13 · Berean Standard Bible
But it is you, a man like myself, my companion and close friend.
Context
11Nguvu za uharibifu zinatenda kazi mjini,
vitisho na uongo haviondoki mitaani mwake. 12Kama aliyenitukana ni adui yangu, ningevumilia,
kama mtu mwovu angejiinua dhidi yangu,
ningejificha asinione. 13Kumbe ni wewe, mwenzangu,
mshiriki na rafiki yangu wa karibu, 14ambaye awali tulifurahia ushirika mzuri,
tulipokuwa tukienda na umati hekaluni mwa Mungu. 15Kifo na kiwajie adui zangu ghafula,
na washuke kuzimu wangali hai,
kwa maana uovu upo ndani yao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.